Nyumba inauzwa
Nyumba inauzwa maeneo ya Segerea ni nyumba ya kisasa ina fence kubwa ina vyumba 3 vya kulala kila chumba kina choo chake ina master bed room ina jiko,bati za kisasa kutoka south africa na vioo vya aluminium,chini ina marumaru na ina uwanja mkubwa nje kwa ajili ya kupark gari na kufanyia shughuli ndogondogo,bei inaanzia milioni 200,pungufu mnaongea. Kwa maelezo wasiliana na 0713059743 au tuma email bbaltec@yahoo.com au bbaltec@gmail.com .
No comments:
Post a Comment