Monday, July 23, 2012

Gari linauzwa

Gari linaloonekana kny hizi picha hapa chini linauzwa:

Cc: 1100
Cd changer 7 cd
Four wheel driver
Milage:Km 120,000
Year:1998
Cost: Tshs7500000


Saturday, June 16, 2012

Shamba ekari 14 linauzwa

Shamba la ekari 14 linauzwa,lipo maeneo ya kibaha kwa mathias bei inaanzia milioni 700. Kwa maelezo kamili piga 0713059743.

Nyumba inauzwa Gongolamboto

Nyumba nzuri ipo Gongolamboto inauzwa Tshs milioni 150. Kwa mawasiliano piga namba 0713059743.

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Kiluvya

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa, kipo maeneo ya kiluvya kina ukubwa wa ekari 4 na bei yake inaanzia TShs milioni 400. Kwa mawasiliano piga 0713059743.

Nyumba maeneo ya airport inauzwa

Nyumba inauzwa maeneo ya airport, ina vyumba 3 na master bed room,ina fence bei inaanzia milioni 85. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0713059743.

Friday, June 15, 2012

Study in China Undergaraduate/Masters under private sponsorship.

For those who are interested to study in China Undergaraduate/Masters/Phd under private sponsorship, we have the following universities offering their courses in English: We have Huazhong university of science and technology they offer telecomunications engineering, We have Tongji medical university offering medicine and Shanghai finance university offering international trade and economics and other bussiness related specialities.For those who want to do those specialities Chinese will be taught just as a subject for students to use it in communication,the teaching language will be English.
For students who want to study Chinese only there are many universities all over China.
For more information contact +255713123328.

pikipiki za tairi 3 za mizigo zinauzwa

pikipiki za tairi 3 za mizigo zinauzwa ni used na zimetumika kwa muda wa miezi 3,zipo tatu na bei yake zina range kuanzia 1,400,000 hadi 2,000,000.Kwa maelezo zaidi wasiliana na 0713123328, au tuma email kwa bbaltec@yahoo.com au bbaltec@gmail.com.

Godauni linauzwa lipo karibu na kariakoo

Kuna Godauni linauzwa lipo nyerere road karibu na kariakoo lina ukubwa wa ekari 4 bei inaanzia sh milioni 600 kwa maelezo zaidi piga 0713059743 au tuma email bbaltec@yahoo.com au bbaltec@gmail.com

kadi za harusi send off kitchen party.. kwa bei poa

Kwa wanaohitaji kadi za harusi,send off au kitchen party wasiliana na baltec stationary  kwa namba 0716248209 au 0764278173 au tuma email kwenda bbaltec@yahoo.com au bbaltec@gmail.com ,order upewe sample ukiridhika nazo na kuorder utengenezewe, kadi zitaletwa mpaka hapo ulipo popote ndani ya Dar es salaam.Zipo kadi za Tshs 300,400,500,800,1000 na 1200 kutegemea na kiwango na ukubwa wa kadi unayoitaka.


Yard inauzwa maeneo ya mbagala

Yard  inauzwa ina ukubwa wa ekari 2 ipo maeneo ya mbagala,bei inaanzia milioni 100.

Mawasiliano: 0713059743

Nyumba inauzwa

Nyumba inauzwa maeneo ya Segerea ni nyumba ya kisasa ina fence kubwa ina vyumba 3 vya kulala kila chumba kina choo chake ina master bed room ina jiko,bati za kisasa kutoka south africa na vioo vya aluminium,chini ina marumaru na ina uwanja mkubwa nje kwa ajili ya kupark gari na kufanyia shughuli ndogondogo,bei inaanzia milioni 200,pungufu mnaongea. Kwa maelezo wasiliana na 0713059743 au tuma email bbaltec@yahoo.com au bbaltec@gmail.com .

Thursday, June 14, 2012

Gari starlet inauzwa

Gari inauzwa, Registration number: T981 BGJ, Make: TOYOTA Model:STARLET Color: WINE RED
Year: 1998  Cc:1331 Fuel: PETROL Mileage: 71000  AC: OK  Trnsmissn: AUTO   AIR BAG: OK Power staring,Power windows.  PRICE: Tshs 6,570,000.  Kwa taarifa zaidi piga namba 0782771515 au 0717771515.

Laptop nzuri bei nafuu

Kuna laptop mbili:
1.Dell E540
hard disk: 160 GB, RAM: 2GB, CPU: dual core 2.8 GHz,ina dvd writer,color: black
Bei: 450,000

2.Dell D620
hard disk: 80 GB, RAM: 1GB, CPU: dual core 2.2 GHz,ina dvd rom,color: silver
Bei: 380,000

Kwa taarifa zaidi wasiliana na 0653843489 au 0712058110.

RAV 4 inauzwa

Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998,
 Engine capacity ni CC 1984
Odometer ni km 160,000
Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.
 Inauzwa 10Million. Ipo kwenye hali nzuri.
 Kwa mawasiliano zaidi 0717 123 464, 0762 101 178 au 0713 123 464


Wednesday, May 30, 2012

infokamili


blog hii ni kwaajili ya kukupa infokamili kuhusiana na mambo mbalimbali haswa ya kibiashara.keep visiting the blog to get more updated information. This blog is powered and maintained by baltec organization.